// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE: HABARI ZA NYUMBANI BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE: HABARI ZA NYUMBANI
    Showing posts with label HABARI ZA NYUMBANI. Show all posts
    Showing posts with label HABARI ZA NYUMBANI. Show all posts
    Saturday, April 05, 2025
    MASHUJAA YAIKUNG’UTA FOUNTAIN GATE 3-0 KIGOMA

    MASHUJAA YAIKUNG’UTA FOUNTAIN GATE 3-0 KIGOMA

    WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa L...
    PAMBA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 KIRUMBA

    PAMBA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 KIRUMBA

    WENYEJI, Pamba Jiji wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM ...
    Thursday, April 03, 2025
    KAGERA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 KAITABA

    KAGERA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 KAITABA

    WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
    AZAM FC YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-0 SOKOINE

    AZAM FC YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-0 SOKOINE

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Soko...
    JKT TANZANIA NA DODOMA JIJI HAKUNA MBABE, SARE 2-2 MBWENI

    JKT TANZANIA NA DODOMA JIJI HAKUNA MBABE, SARE 2-2 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja...
    Wednesday, April 02, 2025
    SIMBA SC YACHAPWA MABAO 2-0 NA AL MASRY

    SIMBA SC YACHAPWA MABAO 2-0 NA AL MASRY

    TIMU ya Simba SC imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Al Masry katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja wa N...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA FOUNTAIN GATE 3-0 MANYARA

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA FOUNTAIN GATE 3-0 MANYARA

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
    KMC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 3-2 MWENGE

    KMC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 3-2 MWENGE

    WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmas...
    YANGA YAWAADABISHA TABORA UNITED, YAWACHAPA 3-0 MWINYI

    YANGA YAWAADABISHA TABORA UNITED, YAWACHAPA 3-0 MWINYI

    MABINGWA watetezi, Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara le...
    PAMBA JIJI YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KIRUMBA

    PAMBA JIJI YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KIRUMBA

    WENYEJI, Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa C...
    Saturday, March 29, 2025
    MABINGWA WATETEZI, YANGA NAO WATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB

    MABINGWA WATETEZI, YANGA NAO WATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB

    MABINGWA watetezi, Yanga wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya...
    Friday, March 28, 2025
    KAGERA SUGAR YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB

    KAGERA SUGAR YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB

    TIMU ya Kagera Sugar imefanikiwa kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Ben...
    Thursday, March 27, 2025
    Wednesday, March 26, 2025
    STAND UNITED YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB

    STAND UNITED YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB

    TIMU ya Stand United imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB...
    TAIFA STARS YACHAPWA 2-0 NA MOROCCO KIFUZU KOMBE LA DUNIA

    TAIFA STARS YACHAPWA 2-0 NA MOROCCO KIFUZU KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania usiku wa kuamkia leo imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Morocco katika mchezo wa Kundi E kufuzu Fainali za Ko...
    Monday, March 24, 2025
    Friday, March 21, 2025

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA